R.I.P Dr. Amulike Mboya

TANZIA
Kwa masikitiko makubwa tunapenda kuwajulisha kuwa Askofu Mkuu Mstaafu wa Kanisa letu la PHM Dr. Amulike Mboya amefariki dunia usiku wa kuamkia tarehe 14.05.2017 katika hospitali ya Rufaa mkoa wa Iringa.
Mazishi yatafanyika siku ya Juma Tano tarehe 17.05.2017 katika makaburi ya Mkwawa.

Msiba ni mkubwa ulioifika familia ya Mboya na kanisa la PHM kwa ujumla. Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana libarikiwe.

Asanteni sana.