Picha za Mazishi ya Dr.Amulike Mboya

Picha za matukio mbali-mbali wakati wa mazishi ya Askofu mkuu mstaafu wa Kanisa letu la PHM, Dr.Amulike Mboya.